KOCHA
Manuel Pellegrini ameshina tuzo ya kocha bora wa mwezi Ligi Kuu ya
England, baada ya Manchester City kuweka rekodi nzuri Januari ikishinda
mechi nne kati ya nne.
Huu ni
mwezi wa pili mfululizo Pellegrini anashinda tuzo hiyo - na mara ya
kwanza kwa kocha mmoja kushinda mara mbili mfululizo tangu Carlo
Ancelotti afanye hivyo akiwa kocha wa Chelsea mwaka 2011.
Nyota wa
Sunderland, Adam Johnson ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa
Ligi Kuu baada ya kazi nzuri aliyoifanya mwezi uliopita akifunga mabao
matan
No comments:
Post a Comment