PICHA:::MH:MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA MGOMBEA(CCM) UBUNGE JIMBO LA KALENGA NDUGU GODFREY W.MGIMWA
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania-Bara Mh:Mwigulu Lameck
Nchemba jioni ya leo Tar.13.02/2014 amekutana na Mgombea Ubunge Wa Chama
Cha Mapinduzi Jimbo La Kalenga Mkoani Iringa Ndugu Godfrey William
Mgimwa.Mh:Mwigulu Nchemba ambaye amekuwa akiongoza Mapambano ya Chaguzi
Mbalimbali Nchini kwa Chama Cha Mapinduzi amempongeza Ndugu Godfrey
Mgimwa Kwa Kuteuliwa Kwake Kuwa Mgombe Ubunge Jimbo la Kalenga"Wewe ni
Kijana,Msomi tena Mchumi Kama
mimi,Chama kimekuamini Sana kuwa wewe
ndiye utakayepeperusha Bendera kwenye Jimbo la Kalenga,Hongera
sana,Nakuahidi kushirikiana Mwanzo hadi Mwisho kuhakikisha Kalenga
inabaki Salama Mikononi Mwa Chama Cha Mapinduzi"
No comments:
Post a Comment