Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza
ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili
duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince
Charles.(picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment