Usiku wa
kuamkia Jumatatu wezi wanaodhaniwa kuwa mashabiki wa klabu ya Borrusia
Dortmund wamemfanyia kitu mbaya mshambuliaji klabu hiyo Robert
Lewandoski baada ya kuifanya gari la mshambuliaji huyo kuwa ‘screpa’ kwa
kuiba matairi yote ya gari hiyo.
Gari hilo aina ya Porsche Cayenne lilikuwa limepaki nje ya nyumba ya mshambuliaji huyo huko Ujerumani, wezi waliiba matairi yote na kuliacha gari hilo juu ya mawe. Kwa mujibu wa gazeti la Bild, sasa itamgharimu Lewandowski kiasi cha €2,500 kuweza kuifanya gari hiyo itembee tena.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment