Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na
Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard
Ndassa.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi Mohamed
Bissanga na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa ,wote wakiwa ni wabunge wa
Bunge Maalum la Katiba, nje ya ukumbi wa Bunge Mjiji Dodoama Februari
24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo, Pinda akizungumza na Katibu wa Bunge, Thomas
Kashilillah, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014.
(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment