Naibu
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba
akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha
Mapinduzi baada ya kuhojiwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya
Maadili.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba
akiondoka nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya
kumaliza kuhojiwa kwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya
Maadili.Picha na Adam Mzee
No comments:
Post a Comment