Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na
Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House
baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na
Uratibu ) Ndugu Stephen Wassiraakifurahia jambo na Kada Maarufu wa CCM
Ndugu Adam Soud mara baada ya kumaliza mazungumzo na waandishi wa habari
leo mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment