Wapita njia wakipita katika mtaa wa barabara ya sita wakishuhudia
maduka yakiwa yamefungwa kwa muda usiojulikana baada yawafanyabiashara
kugomea mashine za kieletroniki EFDs zilizotolewa na Mamlaka ya mapato
Tanzania (TRA).(Picha na John Banda)
Baadhi ya wafanyabiashara wa maduka wakifunga maduka na kupiga soga nje ya maduka yao
baada ya kuyafunga kwa muda usiyojulikana wakipinga mashine ya
kielektroniki EFDs iliyotolewa na TRA na kutakiwa kila mfanyabiashara kuwa nayo.
Maduka
yakiwa yamefungwa katika mitaa mbalimbali ya manispaa ya Dodoma baada
ya wafanyabiashara kugoma kuazia jana karibu nchi nzima kwa muda
usiyojulikana huku mapendekezo yao kuwa gharama za uendeshaji mashine
hizo zifanywe na serekali.
No comments:
Post a Comment