Pages

Sunday, February 23, 2014

UJIO MPYA WA SNURA HUU HAPA

 
 
 
Kaa tayari kwa ajili ya wimbo huu mpya wa snura mushi. unaojulikana kama Ushaharibu, huu wimbo unawazungumzia watu wenye tabia ya kuiangalia leo na kuidharau kesho, kwa mfano kuna watu wamezungumziwa umo ndani kuwa ''Uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha,huna pakulala shida umezizidisha,

na haya ndio mashahiri ya wimbo huu wa ushaharibu....

unatafuta kick na upo kwenye muziki,ndio kwanza unahit umetukana mashabiki ulikimbia wazazi ukayafanye mabaya,tena ulimwaga radhi na umepata miwaya  ulitukana wakunga na wakati una mimba,  ulijiona mjanja kumbe wewe ndio mjinga  umeombewa kulala umekojoa kitandani,umetutia haibu kwenye chumba cha jirani

uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha , una pakulala shida umezizidisha,
kuto kujiamini umetapatapa, umeliacha dume umelamba galasa.x 2

chorus
ndo basi tena ushaharibu,uuuhu
kujifanya mjuaji ushahaaribuuuuhu
umejitia ufundi ushaharibuuuuhu
jipange upya ushaharibuuuuuuhu x 2

vers ya 2

unataka heshima kutoka kwa wako wana , mbele ya watoto wako matusi unatukana, baba yupo ICU mmeukata umeme,tena mmeshaharibu wacheni mimi niseme. nilipokuwa chini ulikuwa unitaki,leo hii niko juu unataka urafiki. umechomwa sindano na umemeza vidonge, ulivyo na dharau eti umekunywa pombe.

uliuza nyumba kwa ugumu wa maisha , una pakulala shida umezizidisha,
kuto kujiamini umetapatapa, umeliacha dume umelamba galasa.x 2

chorus
ndo basi tena ushaharibu,uuuhu
kujifanya mjuaji ushahaaribuuuu
umejitia ufundi ushaharibuuuu
jipange upya ushaharibuuuuh  x 2

Brige
ebu jaribu sasa kufikiria jambo usiharibu, umeharibu sasa limekushuka sura ina haibu, ebu chunga uchunge uchungweee usiharibu tena,hk chungwa uchungwe usiharibu tena, we Snura chunga uchungweeee,baby talha chungwa uchungweeeee,  na mapacha chungwa uchungweeee msiharibu tenaa. ebu chungwa chunga uchungweee usiharibu tenaaaaaaaaaaaaaaaaa.

No comments:

Post a Comment