Mwenyekiti
wa umoja wa wabunge wanaosimamia hifadhi ya mazingira na ulinzi wa
wanyamapori Tembo na Faru (katikati) Riziki Lolida ,ambaye pia ni
Mbunge wa Viti Maalum Lindi, akizungumza na waandishi wa habari leo
jijini Dares Salaam kuhusu juhudi za za serikali na umoja huo katika
kupambana na vitendo vya ujangili. Kulia ni Mbunge Jimbo la Kilindi
Beatrice Shellukindo. Kushoto ni
Mbunge wa Jimbo la Dole Sylvester Mabumba, ambaye pia ni Katibu wa Umoja huo.
Mbunge wa Jimbo la Dole Sylvester Mabumba, ambaye pia ni Katibu wa Umoja huo.
Mbunge
Jimbo la Kilindi Beatrice Shellukindo (kulia)akifafanua jambo wakati wa
mkutano wa umoja huo uliofanyika leo jijini Dares Salaam.Kushoto ni
Mwenyekiti wa umoja wa wabunge wanaosimamia hifadhi ya mazingira na
ulinzi wa wanyamapori Tembo na Faru Riziki Lolida ,ambaye pia ni
Mbunge wa Viti Maalum Lindi. Baadhi wa wabunge wa umoja huo wakiwa katika mkutano huo jijini Dares Salaam.
(Picha na Magreth Kinabo – Maelezo)
No comments:
Post a Comment