Watuhumiwa wa usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani
Nanyumbu Mkoa wa Mtwara yenye uzito wa kg 130.6 yenye thamani ya
Tshs Milioni 7.35 katika Hamidu Ngunde (40) wa pili ni Boniphace
Msogo (29) na Geddat Mmuni (36) ote wakazi wa Jijini Dar es Salaam
wakiwa ndani ya gari la polisi baada ya kumaliza upimaji wa uzito .
|
Watuhumiwa wa usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani
Nanyumbu Mkoa wa Mtwara wakiwa wanaangalia upimaji uzito wa meno hayo
yenye uzito wa kg 130.6 katika ghala lililopo makao makuu ya wilaya hiyo mjini Mangaka kutoka kulia
ni Hamidu Ngunde (40) wa pili ni Boniphace Msogo (29) na Geddat Mmuni
(36)w ote wakazi wa Jijini Dar es Salaam... |
No comments:
Post a Comment