Bi Galvana Erlinda, mwakilishi kutoka, shirika la maendele la umoja wa Mataifa akisema machache katika warsha hiyo..
Dkt
Julius Ningu, Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais
akimkaribisha mgeni rasmi katika warsha ya mafunzo ya kupitia mpango wa
utekelezaji wa mkataba wa Stockholm unaohusu kemikali zinazodumu kwenye
mazingira kwa muda mrefu.
Sehemu
ya washiriki wakisikiliza katika warsha ya mafunzo ya kupitia mpango
wa utekelezaji wa mkataba wa Stockholm unahohusu kemikali zinazodumu
kwenye mazingira kwa muda mrefu.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Sazi Salula akifungua Warsha ya
mafunzo ya kupitia mpango wa utekelezaji wa mkataba wa Stockholm
unaohusu kemikali zinazodumu katika mazingira kwa muda mrefu, leo Jijini
Dar Salaam.
Picha ya pamoja wa washiriki katika warsha hiyo.(Picha zote na Evelyn Mkokoi)
No comments:
Post a Comment