Polisi wa Uganda wamezuia kundi la wanawake waliopanga kuandamana kupinga sheria inayopiga marufuku picha chafu.
Chini ya sheria hiyo ni marufuku kwa wanawake
kuvalia mavazi mafupi, yenye kubana mwilini kiasi cha kuonekana mapaja
na makalio na sheti inayoonyesha matiti.Wanawake hao waliopanga kuandamana mjini Kampala walibeba mabano kupinga sheria mpya baadhi wakuvalia mavazi mafupi. Baadaye walikubaliwa kukusanyika katika uwanja nje ya ukumbi wa kitaifa.
No comments:
Post a Comment