Pages

Saturday, February 15, 2014

Winga wa zamani wa Preston na England Sir Tom Finney amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

Winga wa zamani wa Preston na timu ya taifa ya England Sir Tom Finney amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91.
Finney ambaye ameichezea Preston North End zaidi ya michezo 400 ya ligi kati ya 1946 na 1960 na kuichezea michezo 76 timu ya taifa ya England, aliifungia timu ya taifa ya England magoli 30 na kuingia kwenye orodha ya wafungaji wa muda wote wa timu yaifa ya England akishikilia nafasi ya sita ambapo anafungana na Alan Shearer na Nat Lofthouse.





No comments:

Post a Comment