Mwakilishi
Mkaazi wa Shirika linaloshughulikia idadi ya watu Duniani (UNFPA)
Mariam Khan akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Afya DK. Mohd Saleh
Jidawi vifaa mbali mbali vya mama wajawazito na watoto vyenye thamani
ya zaidi ya shilingi milioni 400 za Kitanzania. Hafla hiyo ilifanyika
Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohd Saleh Jidawi akitoa shukrani kwa baada ya
kupokea msaada wa vifaa vya afya vilivyotolewa na Shirika
linaloshughulikia idadi ya watu Duniani.
Baadhi
ya maofisa wa Wizara ya Afya waliohudhuri hafla ya kukabidhiwa vifaa
vya Afya vilivyotolewa na Shirika linaloshughulikia idadi ya watu
duniani (UNFPA) .
PICHA NA MAKAME MSHENGA MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment