Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akisomewa ripoti ya mradi wa maji Doma, Morogoro.Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa katika vijiji vya Doma na Melela
katika ziara yake ya siku 10 inayoendelea mkoani Morogoro.Mmoja wa wakazi wa Doma akichota maji katika mradi wa maji Doma, Morogoro. Kituo cha pampu ya kusukumia maji ya mradi wa Melela, Morogoro.Afisa
Bonde wa Wami/Ruvu, Praxeda Kalugendo akitoa maelezo kwa Naibu Waziri
wa Maji, Amos Makalla alipotembelea mradi wa Melela, Morogoro.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa amesimama mbele ya tanki la maji la
mradi wa Melela, Morogoro akizungumza na wakazi wake.Kamati ya Jumuiya ya Watumia Maji wa mradi wa Melela, Morogoro wakiwa katika pamoja na Naibu Waziri wa Maji.
No comments:
Post a Comment