Pages

Wednesday, March 26, 2014

BAYERN MUNICH WAFUNGIWA KUCHEZA BILA MASHABIKI KWENYE MECHI YAO NA MAN UNITED NI BAADA YA MASHABIKI HAO KUWAITA ARSENAL MASHOGA


 Mashabiki wa Bayern Munich wakionyesha bango la matusi kabla ya mechi na Arsenal
Punishment: UEFA have taken the decision that Arjen Robben and Co will play in front of a part-empty ground
UEFA imeamua Arjen Robben na wenzake watacheza eneo moja la Uwanja likiwa tupu
Expensive seats: Section 124 - along the touchline - will be shut when they host Manchester United
Eneo namba 124 - lililozungushiwa wino mwekundu litakuwa wazi katika mechi na Manchester United
SEHEMU moja ya jukwaa katika Uwanja wa Allianz Arena itafungwa wakati wa mchezo dhidi ya Manchester United na wenyeji Bayern Munich mwezi ujao. 
UEFA imechukua hatua hiyo kuelekea Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya mashabiki wa Bayern kuonyesha bango la matusi katika mchezo wa 16 Bora dhidi ya Arsenal. 
Bango hilo lilikuwa limeandikwa "Gay Gunners", yaani Arsenal mashoga- na kuchorwa kikatuni cha kiungo Mesut Ozil mbele ya klabu saini ya klabu hiyo. 
NA BIN ZUBERY

No comments:

Post a Comment