Mvutano
Mkubwa Bado Umetawala Bunge Maalum Linaloendelea Mkoani Dodoma Hali
Iliyopelekea Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Hilo Mh Pandu Kificho
Kuliahirisha Bunge Hilo Mchana Huu Mpaka saa Kumi Jioni.Mvutano Mkubwa
Upo namna ya Kupitisha Kunini ya Kuongoza Kanuni hiyo Kanuni Kuhusu
Maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba Yapitishwe kwa Kura ya Siri ama ya Wazi. Mvutano huo umetokea pale Kundi Moja waliposema Ipigwe Kura ya
Kuamua Bunge Hilo Kutumia Kura ya Siri ama ya WaziNdipo
Majibizano yalipoanza Yakiambatana na Kuzomea kwa Baadhi ya Wajumbe
walipopewa nafasi ya Kuzungumza.Bunge Hilo Limepitisha kanuni zote kwa
asilimia 95 zilizobaki ni mbili tu lakini uamuzi wake unaleta Mvutano
Mkubwa sana Katika Bunge hiloEndelea kuwa nasi Kwa Taarifa zaid
MAONYESHO YA KUKU KUFANYIKA OKTOBA.
-
Katibu wa Chama za wadau wa uzalishaji wa vifaranga Tanzania (TCPA), Alpha
Ibrahimu akielezea namna maonyesho hayo yatakavyotoa fursa kwa ...
1 hour ago
Pumbavu hawa wabunge hawafanyi lolote
ReplyDelete