Anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao kwenye mchakato wa KTMA 2014.
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:
Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje… Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu… Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Mabaki ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la Lori. Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ...
-
“Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya madawa ya kulevya. “We get more money from m...
-
Jumanne Ngoma: Mgunduzi wa tanzanite anayetaabika - Pia amegundua madini ya jasi yanayotengeneza saruji
-
Masanja awaasa Naseeb "Diamond na Wema Sepetu. Kupitia kurasa yake ya mtandao wa Instagram Mchekeshaji Maarufu Afrika Mashariki pi...
sek design. Powered by Blogger.
Followers
Social Icons
On Twitter
Total Pageviews
My Blog List
-
RC CHALAMILA ATANGAZA UUZAJI VIWANJA MABWEPANDE-KINONDONI - -Asema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. ...6 hours ago
-
INEC YAVISISITIZA VYAMA VYA SIASA KUWEKA MAWAKALA VITUO VYA KUANDIKISHA WAPIGA KURA - *Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele ametembelea na ku...1 day ago
-
Afya : Wadau washauri Bajeti mtazamo wa kijinsia kusaidia watoto Njiti - Na Deogratius Temba, Dar es salaam Mtandao wa Haki ya afya ya uzazi umeshauri Serikali kutenga bajeti yenye mtazamo wa Kijinsia katika sekta ya afya ili...3 weeks ago
-
NYAKATI NGUMU HUPITA - ALI KAMWE - Licha ya kipigo kutoka kwa MC Alger, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha matumaini makubwa na kuhimiza mashabiki na wan...1 month ago
-
Premier Bet waja kivingine na Footbal Jackpot King na Cash Out - * Meneja rasilimali watu na utawala wa Kampuni ya Premier Bet Tanzania Amanda Kombe akizungumza kuhusiana na huduma Mpya mbili walizoleta Kwa Wateja wao ...5 years ago
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...6 years ago
-
BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...6 years ago
-
-
Shilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe - Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘AS...6 years ago
-
“AFRICAN BEAUTY” IS JUST ANOTHER ONE FROM DIAMOND PLATNUMZ & OMARION WHICH MIGHT BE THE JAM OF THE CONTINENT - The Tanzania Recording Artist Diamond Platnumz released “African Beauty” off his just premiered album “A Boy From Tandale”. The album features Top Artist...6 years ago
-
Tatu Mzuka yazidi kuwaneemesha Watanzania,wengi waendelea kujizolea mamilioni - Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Mwakilishi wa Kampuni ya inayoche...6 years ago
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS - NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA *PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS* ------------------------------ ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOM...7 years ago
-
-
Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki – Ommy Dimpoz - Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki. Ommy Dimpoz amesema watanz...8 years ago
-
KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi - *KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi*8 years ago
-
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I - *1. IMDB* www.imdb.com *2. IPP Media* www.ippmedia.com *3. Idhaa ya kiswahili DW.DE* www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588 *4. Idawa Onlin...11 years ago
-
-
-
-
-
No comments:
Post a Comment