Anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao kwenye mchakato wa KTMA 2014.
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:
Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje… Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu… Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa...
-
A future king sleeps peacefully in the arms of his doting mother in a family snapshot... taken by his grandfather. Previous royal heirs,...
-
Usisahau kuhusu Show ya Usiku wa Mshike Mshike na Mfalme wa taarabu Afrka Mashariki na Kati iliyoandaliwa na 102.5 Lake Fm Mwanza. Ni...
-
TIMELINE OF MOYES'S TENURE AT OLD TRAFFORD September 1 - United suffer first defeat under Moyes as Daniel Sturridge gives Liv...
-
Chief Executive of Zimbabwe Tourism Authority (ZTA), Karikoga Kaseke (Centre) briefing the International buyers who are attending the 8th...
sek design. Powered by Blogger.
Followers
Social Icons
On Twitter
Total Pageviews
My Blog List
-
DIWANI KATA YA PANGANI KUCHELE AKOSHWA NA KASI YA KAZI KWA DED MANISPAA YA KIBAHA - NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Diwani mpya wa Kata ya Pangani kupitia tiketi ya chama chamapinduzi (CCM) Mhe. John Katere amesesema kwamba lengo lake kubwa ni...1 hour ago
-
Changamoto ya Kulea watoto wa Kiume hasa wakifika miaka 12 - *Na Pastor Harris Kapiga.* *Uzao Dei;* *Changamoto ya KULEA watoto wa KIUME hasa wakifika miaka 12;* *1. Baba kuwa mnoko sana ni jambo la kawaida* *2. U...3 hours ago
-
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1 - Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo uliyo...2 days ago
-
TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...1 week ago
-
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Mhe. *Dkt. Samia Suluhu Hassan* ameapishwa rasmi kuwa *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania* katika sherehe zilizofanyika leo, *Novemba 3, 2025*, kati...1 month ago
-
KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...8 months ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com9 months ago
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...7 years ago
-
BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...7 years ago
-
-
Shilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe - Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘AS...7 years ago
-
“AFRICAN BEAUTY” IS JUST ANOTHER ONE FROM DIAMOND PLATNUMZ & OMARION WHICH MIGHT BE THE JAM OF THE CONTINENT - The Tanzania Recording Artist Diamond Platnumz released “African Beauty” off his just premiered album “A Boy From Tandale”. The album features Top Artist...7 years ago
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS - NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA *PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS* ------------------------------ ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOM...8 years ago
-
-
Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki – Ommy Dimpoz - Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki. Ommy Dimpoz amesema watanz...9 years ago
-
KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi - *KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi*9 years ago
-
-
-
-
-
-
No comments:
Post a Comment