Diamond Platinumz atajwa kuwania tuzo za kimataifa za Kora Music Awards
Msanii Diamond Platnumz, ameendelea kuchana mawimbi katika anga la
muziki hususan kwa upande wa Afrika ambapo amefanikiwa kuingia katika
orodha ya wasanii 20 Bora ambao wanafanya vizuri Afrika, ambao wataingia
katika kinyanganyiro cha kuwania tuzo za Kora.
Diamond katika
orodha hii, anatokea sambamba na majina ya wasanii wakubwa Afrika, kama
vile Oliver Mtukudzi, Fally Ipupa, Mafikizolo pamoja na wakali wengine
wa muziki barani Afrika
Biashara : Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni aipongeza Puma Energy kurahisisha
upatikanaji huduma za nishati kwa wananchi
-
• Mkuu wa Wilaya ashiriki uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta pamoja na
huduma za ziada kama vile duka la manunuzi ya mahitaji ya nyumbani, huduma
za kuo...
11 minutes ago
No comments:
Post a Comment