Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 31, 2014

DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]IMG_8887 Baadhi ya  wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vitongoji jirani na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kuzindua rasmi Mradi wa Umeme katika Kijiji  hicho kiliopo Mkoa wa Kaskazii Pemba leo. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
IMG_8890Wanafunzi wa Skuli ya Ukunjwi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua rasmi Nishati hiyo leo, [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.] IMG_8922Naibu Katibu wa  Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi,akisoma Ripoti ya Wizara wakati wa  uzinduzi rasmi wa  Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]IMG_8976Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vijiji Jirani wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme uliofanyika leo Kijijini hapo Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]

No comments:

Post a Comment