Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 9, 2014

KUTOKA KWENYE BUNGE LA KATIBA NI RAHA TU




Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.Pandu Amir Kificho akiwa amesimama kutoa muongozo wakati wa kikao kilichofanyika jioni ya Jana mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Job Ndugai akibadilishana mawazo na Mhe.Samweli Sitta. 
Mhe. Anna Makinda akiteta jambo na Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro.
Katibu wa wa Bunge la  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Thomas Kashililaakizungumza na baadhi ya wajumbe wa kamati ya rasmi ya kanuni za bunge kabla ya kikao kuanza jioni hii.
Mjumbe wa Kamati ya Kanuni, Mhe.Tundu Lissu akijibu hoja zilizowasilishwa na Wajumbe wa Bunge hilo la Katiba.
Mhe. Hamad Rashid akichangia hoja.
Mhe Betty Machangu akichangia
Mhe. Hezekiah Wenje akichangia mjadala wa kanuni za bunge maalum.Picha na Deusdedit Mosh

No comments:

Post a Comment