MATOKEO YA LEO YA KESI YA MAUAJI YA PISTORIUS KUMPIGA RISASI MCHUMBA WAKE HAYA HAPA
Mahakama yaahirisha kusikizwa kwa kesi ya Oscar Pistorius. Kesi ya mwanariadha wa Afrika kusini Oscar Pistorius imeahirishwa baada ya mmoja wa mahakimu kuugua. Mshindi huyo wa nishani ya dhahabu ya
olimpiki , tayari alikuwa amewasili mahakamani ,ambapo alitarajiwa kuwa
wa kwanza kujitetea. Kesi hiyo sasa itaendelea tarehe 7 mwezi Aprili. Oscar Pistorius amekana kumuua
mpenziwe Reeva Steenkamp kimaksudi lakini anakiri kufyatua risasi
zilizomuua akidai kuwa alidhani ni jambazi aliyekuwa ameingia nyumbani
mwake. BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGIII
No comments:
Post a Comment