Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, March 8, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR

DSC_0363Wanawake wanaowakilisha Wizara ya Maliasili na Utalii wakipita mbele ya mgeni rasmi katika uwanja wa Mwembe-yanga.
DSC_0321Bibi aliyefurahia maandamano ya wanawake wenzake na kujiunga nao kusheherekea siku ya wanawake duniani.DSC_0336Wanawake wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiserebuka wakati wa maandamano kuelekea uwanja wa Mwembe-yangaDSC_0350Baadhi wa wanawake wa wizara ya maliasili na utalii wakijiandaa kujiunga kwenye maandamano nje ya uwanja wa Mwembe – yanga

No comments:

Post a Comment