kupitia ukurasa wake wa Facebook Hamisi kaandika "Nimenusurika
kuuawa muda si mrefu. Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na
bahati yako nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa mbele
yangu amepigwa risasi kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana
wamenilinda kwa ujasiri bila hofu. Leo askari wamenikamata kwa staha.
Siwezi kukubali kamwe dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge! Niliwaahidi
na niliapa kuwatetea..."
AIR FRANCE- KLM YATOA FURSA WASICHANA 20 KUTOKA VITUO VYA KULEA WATOTO
YATIMA KUTEMBELEA JNIA
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, Wasichana ishirini kutoka
Vituo vya kulea Watoto Yatima vya Shalom na ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment