Pages

Friday, March 28, 2014

MPIGIE KURA DIAMOND PLATNUMZ KATIKA TUZO ZA KORA


"Tafadhali ukiwa kama Shabiki au Mpenzi wa muziki wa Diamond tunaomba umpigie Kura katika Tunzo hizi za KORA... kwa kuingia katika Facebook page ya #KoraAwardsOfficialkisha like page yao na katika kila post utayoona ina picha au jina la Diamond Comment kwa kuandika jina lake Diamond Platnumz hapo utakuwa umemuwezesha kuwa katika nafasi nzuri na hatimaye kufanikisha kuleta Heshima kubwa nyumbani... tafadhali kumbuka kulike page yao kwanza ndio  ucomment... maana bila hivyo kura itakuwa haiesabiki" 
  #koraawards #diamondplatnumz #vote #vote #vote

No comments:

Post a Comment