Inawezakuwa
umeshaiona habari ya mkasa huu wa simba jike kujitosa kwenye mto na
kupambana na mamba ili aweze kuwavusha mto watoto wake. Hatua hiyo
ililenga kuwalinda watoto wake wasiliwe na mamba, kweli upendo wa mama
hauna kipimo.
Karibu ushuhudie picha za tukio hilo hatua kwa hatu lililotokea kwenye mto wa okavango delta nchini Botswana.
mama kasafisha njia wacha tuvuke fasta
No comments:
Post a Comment