Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 11, 2014

PICHA ZA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA LEO



Wajumbe  wa Bunge  Maalum la Katiba, William Lukuvi  (kulia)  akizungumza , Anna  Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi  11, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho  akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 11, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba . Kutoka kushoto ni John Shibuda, Riziki Lulida na Zabein Mhita

No comments:

Post a Comment