Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Ruthanne Chipeta mara baada ya kuwasili jijini London Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza |
Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Tobiko Kallaghe mara baada ya kuwasili jijini London Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza |
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipokewa mara baada ya kuwasili jijini London leo Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza. |
No comments:
Post a Comment