Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi
kuashiria kufungua na kukagua bidhaa Soko la Vyakula Michungwani wiyani
Muheza leo.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuzungumza na wafanyabiashara
katika soko la Vyakula Michungwani Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga
leo.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoa wa Tanga(picha na
Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment