Kikao cha
semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo
saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho
Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa
alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu
ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge
maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa
alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
MPANGO WA VETA NA FUNDI MAHIRI KUKUZA MAFUNZO YA VITENDO KWA VIJANA
-
Katika jitihada za kuboresha ujuzi wa vitendo kwa wanafunzi wa ufundi
stadi, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imezindua kampeni
ijulikana...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment