Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 9, 2014

SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA UWANJA WA MWEMBE YANGA JIJINI DAR

 Ungo ukipitishwa...Changia Unachoweza..
 Burudani kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Mh Said Mecky Sadick akisakata Rumba
 Wadau wa PPF wakiserebuka
 Doroth Kaiyuzi , Kutoka Chama cha Wasioona Akisoma Risala mbele ya Wageni Rasmi katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwembe Yanga, Jijini Dar Es Salaam, tarehe 8 Machi 2014
Wakazi wa Jiji la Dar wakitembelea Mabanda mbalimbali yaliyopo katika uwanja huo wa Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani hapo tarehe 8 Machi 2014.Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.

No comments:

Post a Comment