Pages

Friday, March 28, 2014

TAZAMA PICHA JINSI BUNGE LILIVYOCHAFUKA JANA

PG4A4552Mjumbe wa Bunge Maalum Mwigulu Mchemba akichangia Bungeni mjini Dodoma Machi 27, 2014. Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A4582Mjube wa Bunge Maalaum Moses Machari akichangia Bungeni Machi 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jusa akilalamika Bungeni Machi 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)PG4A4635Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Halima Mdee akilalamika Bungeni Mjini Dodoma Machi 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment