Pages

Sunday, March 23, 2014

TAZAMA PICHA SIMBA ALIVOKIONA CHA MTEMAKUNI MBELE YA COASTAL UNION LEO NA KUPIGWA 1 BILA

Mshambuliaji wa Simba Sc, Ramadhani Singano 'Messi' akikwaana na beki wa Coastal Union wakati wa mechi ya leo.
Mashabiki wa Simba SC wakiwa wamepoa.
Timu zikiingia uwanjani.
...Zikisalimiana kabla ya mtanange kuanza.
Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda, akijiandaa kuingia uwanjani.
Kikosi cha Simba SC kilichoanza mtanange wa leo.
Kikosi cha Coastal Union.
Benchi la ufundi la Coastal.
Benchi la ufundi la Simba SC.
Simba SC imeendelea kusuasua katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union leo.
Bao la Coastal limewekwa kimiani na Hamad Juma dakika ya 45 kipindi cha kwanza katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.Chanzo GPL

No comments:

Post a Comment