Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 25, 2014

Viongozi wa Shirikisho la vyama vya Kisoshalisti wawasili Tanzania

photo 1 (1) 
Katibu Mkuu wa Shirikisho la vyama vya Kisoshalisti duniani Ndg. Luis Ayala akipokewa na Ndg. Phares Magesa Mjumbe wa NEC aliyewapokea wageni hao kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM leo katika uwanja wa Julius Nyererephoto 2 (1) 
Ndg. Ayala katikati , Ndg. Perry kushoto wakiwa na Ndg. Magesa katika mazungumzo mafupi mara baada ya wageni hao kuwasili Dar Es Salaam



No comments:

Post a Comment