Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 20, 2014

AJALI YA FUSO TEMEKE YADAIWA KUUA WATU WATATU

WATU wanne wamepoteza maisha wakati watatu wakijeruhiwa baada ya kugongwa na fuso lililokatika breki eneo la mto Mkokozi, Temeke jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, fuso hilo lilikuwa limebeba mzigo wa kokoto likitokea Mjimwema, lilipofika daraja la mto Mkokozi, lilikatika breki kisha likaparamia bajaj mbili na kusababisha maafa hayo.
Chanzo: JF

No comments:

Post a Comment