Pages

Sunday, April 27, 2014

ASKARI MAGEREZA WAONESHA WANAVYOPAMBANA NA WAFUNGWA WAKOROFI MAGEREZANI KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO

 'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo
Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi
 Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu
 Askari anapangua teke....
 Kisha anakata zote bee....
 Mfungwa hoi...
Anadakwa kilaaiiini....
Hii ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari waliovalia aina ya nguo za wafungwa....Chanzo Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment