Pages

Monday, April 28, 2014

AUAWA NA KUCHOMWA MOTO MBAGALA KWA TUHUMA ZA WIZI

Kijana Mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja Amewawa kwa Tuhuma za Wizi Huko mbagala mtaa wa kwa Mwarabu.Wananchi wam,eendelea Kujichukulia sheria Mkononi . 
Wananchi wa eneo la mbagala kwa mwarabu wamefanikiwa kumuuua mwizi kwa kumchoma moto 



            wananchi wakiangalia maiti ya mwizi

No comments:

Post a Comment