Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, April 28, 2014

BASI LA RATCO LAPATA AJALI KIBAHA, PWANI

Abiria wakioka kwenye gari kupitia madirishani.
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani Jana jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka  baada ya kuacha njia.
mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio kulikuwa hamna vifo ila abiria walipata majeraha madogo madogo
CHANZO HABARI NA MATUKIO

No comments:

Post a Comment