Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 13, 2014

DARAJA LA MTO MBEZI, KATA YA KAWE LASOMBWA NA MAJI


Mvua iliyonyesha juzi na jana kwa siku mbili mfululizo sehemu mbali mbali za nchi ya Tanzania, zimeendelea kusababisha maafa ambalo Daraja la Mto Mbezi - Kata ya Kawe, Mtaa wa Ukwamani limeondoka na Maji.Picha na Kajunason Blog



No comments:

Post a Comment