Mhe. Mchungaji Peter Msigwa akiwasilisha maoni ya walio wachache katika Bunge la Katiba linaloendelea Mjini Dodoma.
Mhe. Andrew Chenge akisimama na kumfahamisha Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kuwa nakala anayosoma Mchungaji Peter Msigwa ni tofauti na nakala walizonazo wabunge.
Mchungaji Peter Msigwa akisisitiza kuwa anayosoma ni nakala halisi.
Muwakilishi wa Kamati namba nne Katika Bunge la Katiba,Dkt. Hamis Kigwangala akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake.
Mh. Agustino Mrema akijadiliana jambo na Mhe.Aggrey Mwanri.
Baadhi ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa wamesimama na kupiga kelele mara baada ya Dkt. Francis Michael kuanza kuwasilisha maoni katika kamati yake wakidai alikuwa anawasilisha ndivyo sivyo walivyoyatoa wao.Picha na Deusdedit Moshi.
No comments:
Post a Comment