Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 22, 2014

Hii ndio ndinga mpya aliyonunua Davido kwa zaidi ya Tsh milioni 200.


43

Amepata nomination 4 kwenye MTV Africa music awards 2014 na pia ana mashabiki wengi barani Africa na nje pia kitu ambacho kinamfanya asitulie kila siku anazunguka nchi tofauti akifanya show.
Hayo yote na faida nyingine za muziki zinampa kila sababu Davido kununua vitu avipendavyo kama magari kutokana na mapato hayo.
Mwaka jana alinunua Mercedes Benz G-Wagon yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 300 na hivi sasa amenunua gari ya kisasa ya mwaka 2014 Mercedes Benz S63AMG yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 200.

Huu ni muonekano wa aina ya gari hilo na chini kabisa ni picha aliyo-post Davido ya gari halisi alilonunua.
2
1
3
4

No comments:

Post a Comment