Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, April 26, 2014

HUYU NDIYE MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE NDANI YA BUNGE LA KATIBA

Mbunge Teddy Ladislaus Patrick (21), ndiyo mbunge mdogo kulioko wote katika bunge maalum la katiba linaoendela na vikao vyake mkoani Dodoma.


Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mh. Samuel Sitta akimuapisha Theddy L. Patrick kuwa mbune wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati.

No comments:

Post a Comment