Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt.Richard Sezibera akimkaribisha
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) kuhudhuria mkutano wa
wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo unaofanyika leo (picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment