Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, April 7, 2014

LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AANDIKA UJUMBE MZITO

 Leo (April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumba anatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi wake Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu Kanumba.
Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram (@Officiallulumichael):
Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGII

No comments:

Post a Comment