Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;
OFISI
YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
UTUMISHI
HOUSE
8
BARABARA YA KIVUKONI
11404
DAR ES SALAAM
au
PRESIDENT’S
OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT
UTUMISHI
HOUSE
8
KIVUKONI ROAD
11404
DAR ES SALAAM
Anuani
hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo,
mawasiliano yote yazingatie anuani mpya.
Limetolewa
na
Katibu
Mkuu
Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Barua
pepe; permsec@utumishi.go.tz
No comments:
Post a Comment