Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 15, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MAALIM MUHIDIN GURUMO, JIJINI DAR.

1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Picha na OMR2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwanamuziki mkongwe, Kassim Mapili, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014. Picha na OMR3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo Aprili 15, 2014. Kulia ni Mjane wa marehemu, Pili Binti Saidi Kitwana. Picha na OMR4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanafamilia wa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo Aprili 15, 2014. Kulia ni Mjane wa marehemu, Pili Binti Saidi Kitwana. Picha na OMR
5Sehemu ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehu wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu. Picha na OMR6Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji katika msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, wakati alipofika nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam, leo Aprili 15, 2014 kwa ajili ya kuaga kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko. Picha na OMR
7Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji katika msiba wa Maalim Muhidin Gurumo, wakati alipofika nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam, leo Aprili 15, 2014 kwa ajili ya kuaga kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko. Picha na OMR
8Baadhi ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.9Baadhi ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.10Baadhi ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo.11Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na waombolezaji wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, baada ya kuaga mwili wa marehemu. Picha na OMR





PICHA KWA HISANI YA BLOG YA WANANCHI.

No comments:

Post a Comment