Pages

Thursday, April 24, 2014

MATUKIO YA LEO YALIYOTOKEA KWENYE BUNGE LA KATIBA DODOMA

3 Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika eneo la Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.5 Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wakifuatilia  mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma.6 (1) Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Goodluck Joseph Ole-Medeye akitoa mchango wake akiwasilisha  katika Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma wakati wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.7 (1)Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) na Mjumbe wa Bunge hilo Profesa Costa Mahalu(kushoto) wakijadiliana kitu leo mjini Dodoma wakati wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma.

No comments:

Post a Comment