Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 17, 2014

MWANAMUZIKI MAARUFU WA SKYLIGHT BAND "CHILLI CHALLA" AFARIKI DUNIA

Rest in Peace Chili Challa tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi ni ngumu bado kuamini nimeishiwa nguvu jamaniSkylight Bandtz na fans kwa ujumla tutakumiss mno......!
Pumzika kwa amani kaka daima utakumbukwa kwa mchngo wako mkubwa
Chilli challa akiwajibika ipasavyooo enzi za uhai waki
Chili chala akilikung'uta gitaaaa ipasavyooooooo wakati wa uhai wake




No comments:

Post a Comment